‘Wauza unga’ walivyokwaa kisiki kortini
Dar es Salaam. Kweli siku ya kufa nyani miti yote huteleza na hii ni baada ya wafanyabiashara wanne wa Jiji la Dar es Salaam waliohukumiwa kifungo cha miaka 20 jela na kulipa faini ya Sh10 bilioni, kukwaa kisiki katika rufaa waliyoikata. Wafungwa hao, Mirzai Pirbakhshi, Aziz Kizingiti, Said Mrisho na Abdulrahman Lukongo, walihukumiwa adhabu hiyo…