MERIDIANBET YATOA MSAADA ZAHANATI KIBAHA
KAMPUNI ya Meridianbet leo imefika maeneo ya Kibaha katika Zahanati inayofahamika kama Misugusugu na kutoa msaada wa vifaa mbalimbali vitakavyosaidia kwenye Zahanati hiyo. Kampuni hiyo kongwe imekua ikijaribu kutatua changamoto mbalimbali ambazo zimekua zikiikabili jamii yake, Hivo leo wameona Zahanati hiyo inayopatikana eneo la Kibaha ndio yenye uhitaji na wakafanikiwa kutoa msaada. Vifaa ambavyo vimeweza kutolewa leo…