Mbonekae gumzo Sokoine, Mgunda ampa tano Mwamnyeto
ACHANA na matokeo ya ushindi wa mabao 2-1 iliyopata timu Mwamnyeto dhidi ya Mbeya All Stars, burudani ilikuwa kwa mchekeshaji, Oscar Mwanyanje ‘Mc Mboneke’ aliyeteka mashabiki kwenye Uwanja wa Sokoine, jijini hapa, jioni ya leo Jumamosi, licha ya kwamba aligusa mpira mara tu uwanjani. MC Mboneke aliingia uwanjani hapo dakika ya 90 akichukua nafasi ya…