Muuguzi matatani, baada ya mama kujifungua pasipo usaidizi
Kigoma. Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza imemsimamisha kazi muuguzi katika Zahanati ya Basanza, Alex Lyimo kupisha uchunguzi baada ya kuhusishwa na malalamiko ya kumuacha Prisca Makenzi kujifungua bila msaada wake akiwa zamu Juni 9, 2024. Hatua hiyo imechukuliwa baada ya video kusambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonyesha Prisca (17) anayedaiwa kujifungua bila msaada wa mtoa…