Mahujjaji wakusanyika Arafat katika kilele cha Hijja – DW – 15.06.2024
Ibada katika viwanja vya Mlima Arafat, unaojulikana kama kilima cha rehema, inachukuliwa kuwa kilele cha Hija. Mara nyingi ni jambo la kukumbukwa zaidi kwa mahujaji, wanaosimama bega kwa bega, miguu kwa miguu, wakimwomba Mungu rehema, baraka, mafanikio na afya njema. Mlima huo uko karibu kilomita 20 (maili 12) kusini-mashariki mwa Makka. Maelfu ya mahujaji walitembea…