Tanzia: Tangulia Chifu Ferdinand Kamuntu Ruhinda

Taifa liko msibani. Usiku wa Ijumaa majira ya saa 3:00 usiku, Juni 14, 2024, alifariki dunia mmoja wa Watanzania walioweka alama ya pekee katika historia ya Taifa letu, Balozi Chifu, Ferdinand Kamuntu Ruhinda (1938-39). Balozi Ruhinda anayetoka katika familia ya uchifu ni mwandishi wa habari kitaaluma na mwana diplomasia. Alipata elimu yake ya uandishi wa…

Read More

Wito wa Uhispania na Uturuki wa Kusimamisha Vita huko Gaza Katika siku za hivi karibuni, Uhispania na Uturuki kwa pamoja zimetoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua kukomesha mzozo unaoendelea Gaza. Hali katika Ukanda wa Gaza imekuwa suala la muda mrefu na tata, linaloashiria mizunguko ya mara kwa mara ya ghasia kati ya Israel na makundi ya Wapalestina. Kuongezeka kwa uhasama hivi karibuni kumesababisha hasara kubwa ya maisha, uharibifu wa miundombinu, na mateso makubwa kwa raia wa pande zote mbili. Mzozo wa Gaza umekita mizizi katika mizozo ya kihistoria, kisiasa na kieneo. Kimsingi inahusu mzozo wa Israel na Palestina, huku Gaza ikiwa kitovu cha mvutano kutokana na eneo lake la kijiografia na kuwepo kwa makundi mbalimbali ya wanamgambo. Eneo hilo limekumbwa na vita vingi na operesheni za kijeshi kwa miaka mingi, na kusababisha uharibifu mkubwa na migogoro ya kibinadamu. Uhispania na Uturuki, kama nchi mbili zenye ushawishi na uhusiano wa kidiplomasia na Israeli na Palestina, zimechukua msimamo wa kutaka kusitishwa mara moja kwa uhasama huko Gaza. Wamesisitiza haja ya mazungumzo, kupunguza kasi na kuheshimu sheria za kimataifa ili kushughulikia chanzo cha mzozo huo na kuzuia umwagaji damu zaidi. Wito uliotolewa na Uhispania na Uturuki unasisitiza umuhimu wa ushirikiano wa kimataifa na mshikamano katika kutatua migogoro kama ile ya Gaza. Umoja wa Mataifa, mashirika ya kikanda, na nchi binafsi zina jukumu muhimu la kutekeleza katika kuwezesha mazungumzo ya amani, kutoa msaada wa kibinadamu, na kukuza suluhisho la haki na la kudumu ambalo linashikilia haki za pande zote zinazohusika.

Wito wa Uhispania na Uturuki wa Kusimamisha Vita huko Gaza Katika siku za hivi karibuni, Uhispania na Uturuki kwa pamoja zimetoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua kukomesha mzozo unaoendelea Gaza. Hali katika Ukanda wa Gaza imekuwa suala la muda mrefu na tata, linaloashiria mizunguko ya mara kwa mara ya ghasia kati ya Israel…

Read More

Balozi Ruhinda afariki dunia | Mwananchi

Dar es Salaam. Mmoja wa waasisi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Balozi Ferdinand  Ruhinda (86) amefariki dunia leo Juni 15, 2024 nyumbani kwake Masaki, Dar es Salaam kutokana na maradhi ya kisukari. Mdogo wa marehemu, Edward Ruhinda amethibitisha kutokea kwa kifo cha kaka yake akisema ameugua kwa muda mrefu na amekuwa akihudumiwa na…

Read More

Vitalu 19 vya madini vyazalisha ajira 12,000 Songwe

ZAIDI ya vijana 12,000 kutoka Wilaya ya Songwe mkoani Songwe wamepata fursa ya ajira katika migodi ya wachimbaji wadogo na wa kati baada ya Serikali kugawa vitalu 19 kwa wachimbaji hao ili kuhochea ukuaji wa uchumi pamoja na kupunguza migogoro na uhalifu katika jamii ya wachimbaji. Anaripoti Ibrahim Yassin, Songwe… (endelea). Akizungumza na MwanaHALISI Online…

Read More

Mashujaa inayokuja itakuwa kali | Mwanaspoti

PAMOJA na kutaja kufikia malengo ya kubaki Ligi Kuu, uongozi wa Mashujaa FC umesema msimu ujao hautaki tena presha ya kusubiri mechi za mwisho kukwepa kushuka daraja, huku ukitangaza kuongeza bajeti kutafuta nafasi nne za juu. Mashujaa ambayo ilishiriki Ligi Kuu kwa mara ya kwanza licha ya kumaliza nafasi ya nane kwa pointi 35, lakini…

Read More

Ramaphosa achaguliwa tena kuwa rais Afrika Kusini

Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amechaguliwa na wabunge wa nchi hiyo kuanza muhula wa pili madarakani. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Uchaguzi huo wa rais umekuja baada chama cha Ramaphosa cha African National Congress, ANC, kuingia makubaliano na vyama vingine kuunda serikali ya umoja wa kitaifa. Ramaphosa amechaguliwa kwa wingi mkubwa wa kura…

Read More

Biashara, Tabora Utd lazima kieleweke

Kesho itajulikana ni nani atacheza Ligi Kuu Bara msimu ujao kati ya Biashara United ya Mara na Tabora United, ambazo zitamenyana katika mchezo wa marudiano kuwania kucheza ligi hiyo, kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora kuanzia saa 10:00 jioni. Katika mchezo wa kwanza uliochezwa Jumatano kwenye Uwanja wa Karume, Musoma, wenyeji Biashara United walishinda…

Read More

Ahmad, Prisons ndo basi tena, Makatta kumrithi

WAKATI Tanzania Prisons ikithibitisha kocha Ahmad Ally, amevunja mkataba, muda wowote Maafande watamtangaza Mbwana Makata kuiongoza timu hiyo msimu ujao wa mashindano. Ally aliyejiunga na Prisons kwa mkataba wa miaka miwili tangu Novemba 2023 akichukua nafasi ya Fred Felix ‘Minziro’ na aliikuta timu nafasi ya 14 kwa pointi 13 na kumaliza msimu nafasi ya tisa…

Read More