Sudan: Jeshi lasema kamanda mkuu wa waasi aliuawa.
Jeshi la Sudan lilitangaza kuwa Ali Yagoub Gibril, kamanda mkuu wa Kikosi cha Wanajeshi wa Rapid Support Forces (RSF) ambaye alikuwa chini ya vikwazo vya Marekani, aliuawa wakati wa makabiliano katika mji wa Darfur kaskazini uliozingirwa wa El Fasher. Jeshi lilisema kuwa Gibril alikuwa miongoni mwa mamia waliouawa na kujeruhiwa katika mapigano kati ya waasi…