Biteko ataka mafanikio yaendene na maisha bora ya watu
Dodoma. Naibu Waziri Mkuu, Dk Doto Biteko amesema mafanikio yanayoelezwa katika sekta za mafuta, umeme na gesi asilia lazima yaendane na kubadilisha maisha ya watu kuwa bora. Dk Biteko amesema hayo leo Ijumaa Juni 14, 2024 alipozindua taarifa za utendaji katika sekta ndogo za umeme, gesi asilia na mafuta kwa mwaka 2022/2023, huku akitoa maelekezo…