Baba na mwana wanyongwa na watu wasiojulikana
Lindi. Watu wawili wa familia moja wamekutwa wamefariki dunia kwa kunyongwa na watu wasiojulikana katika Kijiji cha Mnimbila kilichopo Kata ya Kilangala mkoani Lindi. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo Ijumaa Juni 14, 2024, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, John Imori amesema tukio hilo lilitokea Juni 13, 2024 saa moja jioni katika…