TGNP, WADAU WA MAENDELEO WAICHAMBUA BAJETI YA SERIKALI
Na mwandishi wetu, Dar es Salaam Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwa kutambua umuhimu wa ushiriki wa wananchi katika michakato ya bajeti na michakato ya maendeleo kwa ujumla umekuwa ukishirikiana na wadau mbalimbali katika kuhakikisha kwamba wananchi wanashiriki ipasavyo katika michakato hiyo pamoja na kutathimini mipango ya maendeleo ya taifa letu. Hayo yamesemwa Ijumaa Juni…