Putin atoa suluhu iwapo Ukraine itaondoka katika maeneo yanayodaiwa na Urusi.
Rais wa Urusi Vladimir Putin aliahidi Ijumaa “mara moja” kuamuru kusitishwa kwa mapigano nchini Ukraine na kuanza mazungumzo ikiwa Kyiv itaanza kuondoa wanajeshi katika maeneo manne yaliyotwaliwa na Moscow mwaka 2022 na kuachana na mpango wa kujiunga na NATO. Ukraine ilijibu kwa kuliita pendekezo la Putin “la ghiliba” na “upuuzi.” Matamshi ya Putin yalikuja wakati…