DA, ANC waridhia kuunda serikali ya mseto Afrika Kusini
Chama tawala nchini Afrika Kusini cha African National Congress, ANC, kimefikia makubaliano na chama cha mrengo wa kati cha Democratic Alliance (DA) pamoja na chama cha Kizulu cha Inkatha Freedom Party (IFP), kuunda serikali ya umoja wa kitaifa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Hatua hiyo imefikiwa baada ya ANC kuambulia asilimia 40.18 pekee ya kura…