Wanaume na hatari ya saratani ya koo
Dar es Salaam. Iwapo unapenda vilevi, ikiwemo pombe kali, nyama choma, sigara, pilipili na mapenzi ya kwa njia ya mdomo, unajiweka hatarini kupata ugonjwa wa saratani ya koo. Kwa mujibu wa wataalamu wa afya, tafiti zinaonyesha wanaume wana uwezekano wa kupata saratani ya koo mara tatu zaidi ya wanawake. Saratani hii ambayo hutokea nyuma ya…