Aussems kushusha vyuma Singida Black Stars
WAKATI Singida Black Stars ikiendelea kujiimarisha kwa ajili ya msimu ujao, uongozi wa timu hiyo umesema umemuachia jukumu Kocha Mkuu Patrick Aussems kuamua nani aingie au kutoka kuhakikisha anafikia malengo ya nafasi nne za juu. Timu hiyo ambayo awali ilifahamika Ihefu ikianzia makao yake Mbarali mkoani Mbeya kabla ya kuhamia mkoani Singida na tayari imebadili…