UDSM yatakiwa kupanua wigo wa utafiti, ubunifu

Dar es Salaam. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk Franklin Rwezimula amekitaka Chuo Kikuu cha Dar es Dar es Salaam (UDSM), kupanua wigo wa wiki ya utafiti na ubunifu kwa kushirikisha washirika wa utafiti ambao tafiti zao zimesajiliwa na zina uhusiano na idara mbalimbali za kitaaluma. Amesema matokeo ya tafiti…

Read More

WANAHARAKATI WA JINSIA NA MAENDELEO WAICHAMBUA BAJETI YA MWAKA 2024/2025 KWENYE MLENGO WA JINSIA

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV WANAHARAKATI wa Jinsia na Maendeleo kupitia Mtandao wa Jinsia Tanzania- TGNP, wameishukuru Serikali kulifanyia kazi suala la kikokotoo ambacho kimeongezwa kutoka asilimia 33 hadi asilimia 40 ambapo kinatarajiwa kurejesha ahueni kwa wastaafu. Akizungumza leo Juni 13,2024 Jijini Dar es salaam katika kijiwe cha kahawa kilichoandaliwa na TGNP -Mtandao kwa lengo…

Read More

Maumivu yaja magari yanayotumia gesi

Dar es Salaam. Serikali imeongeza Sh382 katika kilo moja ya gesi inayotumika katika magari na sasa bei itakuwa Sh1,932 kutoka Sh1,550. Hayo ni miongoni mwa mapendekezo yaliyotolewa leo Juni 13, 2024 na Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba alipowasilisha hotuba ya Bajeti ya Serikali ya mwaka 2024/25 bungeni jijini Dodoma ya Sh49.3 trilioni. Akizungumzia Sheria…

Read More

VIDEO: Polisi Moshi wadaiwa kuua mtuhumiwa kwa kipigo

Moshi. Kilio cha washukiwa wa uhalifu kufariki mikononi mwa polisi, kinazidi kulitikisa Jeshi la Polisi, baada ya kutokea tukio mkoani Kilimanjaro, kwa mkazi wa Kijiji cha Mvuleni Newland, Wilaya ya Moshi, Joseph Zakayo, kudaiwa kuuawa kwa kipigo. Taarifa kutoka kwa baadhi ya ndugu na kutoka ndani ya Jeshi la Polisi, zinadai kuwa mtuhumiwa huyo wa…

Read More

Al Ittihad wapo katika hatua za juu za mazungumzo ya kutaka kumsajili Nacho Fernández kama mchezaji huru kutoka Real Madrid.

Kwa mujibu wa ripoti za hivi punde kutoka L’Équipe, Al Ittihad inamfuatilia kwa dhati beki huyo wa kimataifa wa Uhispania, ambaye atakuwa mchezaji huru mara tu mkataba wake na Real Madrid utakapomalizika mwishoni mwa Juni. Klabu ya Saudi Arabia inaripotiwa kuongoza katika kinyang’anyiro cha kupata saini ya Nacho, huku mazungumzo yakiendelea kati ya pande hizo…

Read More

Mabadiliko ya kikokotoo yawakuna wabunge

Dar/Dodoma. Baada ya kilio kuhusu kikokotoo cha mafao ya wastaafu kusikika baadhi wa wabunge, wamepongeza hatua hiyo wakisema ni nzuri japokuwa walitarajia zaidi. Kauli hizo za wabunge zinafuatia hatua ya Serikali kuongeza fao la mkupuo watakalolipwa wastaafu kwa asilimia mbili kwa baadhi yao na wengine asilimia saba. Ongezeko la fao hilo la mkupuo linajibu vilio…

Read More

RC SINGIDA AGOMEA KUZINDUA BWENI

-Kutokana na umaliziaji wake ni chini kiwango Na Mwandishi Wetu ,Singida Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego, amekataa kuzindua bweni la Wanafunzi wa kike katika shule ya Sekondari Mtekente iliyopo Wilayani Iramba baada ya kubaini kuwa ujenzi huwa wa bweni pamoja na jiko yaliyojengwa na Kampuni inayojishughulisha na ununuzi wa pamba Biosustain mkoani humo…

Read More

Nchi za Afrika Mashariki zaongeza bajeti

Dar es Salaam. Mawaziri wa Fedha wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC),leo wamewasilisha bajeti kwenye mabunge ya mataifa yao,  huku Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) ikikadiria ukuaji wa uchumi kwenye ukanda huo kutoka asilimia 3.5 mwaka jana hadi asilimia 5.1 mwaka huu na asilimia 5.7 mwaka 2025. EAC inaundwa na nchi nane…

Read More