Haya ndiyo yaliyomo kwenye kanuni za uchaguzi serikali za mitaa
Dar es Salaam. Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imetoa rasimu ya kanuni za uchaguzi wa serikali katika mamlaka za serikali za mitaa 2024. Rasimu hizo ni kwa ajili ya kanuni za uchaguzi wa mwenyekiti wa kitongoji katika mamlaka za miji midogo za mwaka 2024, na ya kanuni za uchaguzi…