INEC yaeleza mchango wa Vyombo vya Habari na Mchakato wa Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji (Rufaa) Jacob Mwambegele, ameeleza kuwa Tume inatambua na kuheshimu mchango wa vyombo vya habari, hasa vya kijamii na kijitali, katika kuwafikia vijana ambao ni walengwa muhimu wa zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura. Akizungumza kwenye mkutano na…