GGML yaahidi kuendelea kushirikiana na UDSM kudhamini tafiti, ubunifu.
Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeahidi kuendelea kushirikiana na Serikali kupitia Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) katika kuendeleza tafiti na ubunifu zinazoendelea kufanyika ndani ya nchi ili kutoa majibu ya changamoto mbalimbali zinazoikabili jamii ya watanzania. Hayo yamebainishwa mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam na Makamu Rais wa AngloGold Ashanti…