NDO HIVYO: Usajili unavyoneemesha, kutafuna wachezaji
TUNASHUHUDIA maisha ya wanasoka yakianza kubadilika mara wanaposaini mikataba ya kuchezea timu kubwa za Ligi Kuu za nchi mbalimbali kama ya Tanzania Bara, ambako timu vigogo ni Azam, Simba na Yanga. Mchezaji aliyekuwa na maisha ya kawaida huanza kuonekana ananunua gari dogo na baadaye kununua kiwanja na mwaka mwingine anaonekana anaanza kujenga. Miaka yake mitano…