Wito kujadili kanuni za uchaguzi serikali za mitaa wazua mvutano
Dar es Salaam. Wito wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) kwa viongozi wa vyama vya siasa kujadili kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa umezua mvutano miongoni mwa wadau kabla ya mjadala wenyewe. Baadhi ya vyama vya siasa vimekosoa hatua hiyo kwa kuwa wito huo haukuambatana na rasimu ya…