ZANZIBAR ITAUNGANA NA DUNIA KUADHIMSHA SIKU YA WACHANGIAJI DAMU JUNI 14,2024
Na Fauzia Mussa –Maelezo Waziri wa Afya Zanzibar, Mhe. Nassor Ahmed Mazurui amewataka wananchi wenye sifa za kuchangia damu kujitokeza kwa wingi katika maadhimisho ya siku ya wachangiaji damu ili kusaidia upatikanaji wa damu Nchini. Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusiana na maadhimisho hayo Waziri Mazrui amesema Zanzibar itaadhimsha siku hiyo ifikapo juni 14…