VYOMBO VYA HABARI NGUZO MUHIMU UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele, akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Tume na wahariri wa vyombo vya Habari kuhusu maandalizi ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura uliofanyika leo tarehe 12 Juni, 2024 mkoani Dar es Salaam. *****Na. Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Tume…