BAHATI NI YAKO LEO! EXPANSE NA MERIDIANBET KUKUFURAHISHA

MERIDIANBET wanaendeleza ubabe wao, na leo nakuletea ile Promosheni pendwa ya kujichukulia Maokoto, Shindano la Expanse ambapo ukicheza michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka EXPANSE utajiweka kwenye nafasi ya kushinda Mamilioni leo. Jisajili sasa kuwa moja ya washindi. Shindano la Expanse Meridianbet litatoa zawadi na bonasi za kasino kwa washindi 40 pekee, ambao watakuwa na…

Read More

Mtoto wa Rais Biden akutwa na hatia, asubiri hukumu

Delaware. Mtoto wa Rais wa Marekani, Hunter Biden amepatikana na hatia kwa mashitaka yote yanayohusiana na matumizi ya dawa za kulevya na umiliki wa silaha kinyume cha sheria. Kwa makosa hayo  huenda adhabu yake ikawa kifungo cha miaka 25 jela, ingawa wataalamu wanasema muda huo ni nadra sana kutokea.  Hatua hiyo inamfanya kuwa mtoto wa…

Read More

Watano kizimbani kwa madai ya wizi wa mali ya Sh892 milioni

Dar es Salaam. Mkazi wa Mikocheni, Elizabeth Timasi (76) na wenzake wanne, wamefikishea katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kujibu mashtaka matatu, likiwamo la kuvunja duka na kuiba mali yenye thamani ya Sh892 milioni.  Mbali na Timasi ambaye ni mfanyabiashara, washtakiwa wengine ni daktari Suzan Charles (52), Neema Timasi (43), mfanyabiashara, Jonathan Masanga (76) na…

Read More

Gairo yafikia asilimia 65 upatikanaji wa maji

Serikali kupitia RUWASA Wilaya ya Gairo imefanikiwa kufikisha huduma ya maji safi na salama kwa asilimia 65 Kwa wakazi wa wilaya hiyo huku mpango kufikia asilimia 90 ifikapo mwaka 2025. Meneja wa RUWASA wilaya ya Gairo Mhandisi Gilbert Isaack amesema Serikali imeendelea kutoa fedha kwa ajili ya kukabiliana na changamoto ya maji ambapo tayari mabomba…

Read More