Ukimya wa Polisi tuhuma za  RC kumlawiti mwanafunzi gumzo

Mwanza/Dar. Ukimya wa Jeshi la Polisi uliotanda kuhusu tuhuma zinazomkabili mkuu wa mkoa mmoja wa Kanda ya Ziwa, anayetuhumiwa kumlawiti mwanafunzi umegeuka gumzo mitandao ya kijamii. Tukio hilo limeibua mijadala maeneo mbalimbali, hususan mitandoni kuanzia juzi, baadhi ya wachangiaji kwenye mjadala huo wakilitaka Jeshi la Polisi kutoa tamko na kumfikisha mhusika kwenye vyombo vya sheria….

Read More

FORUMCIV KUWAJENGEA UWEZO WASANII KUKUZA VIPATO VYAO

SHIRIKA lisilo la kiserikali La Forum CIV Kushirikiana Taasisi ya Kukuza Sanaa Nafasi Art Space zimefanikiwa kuwezesha wasanii kupewa mafunzo kwa kutumia sanaa zao kuwa wana harakati ili waende kuisemea jamii inayo wazunguka kutokana na changamoto mbalimbali zinazo wakumba. Akizungumza na Wanahabari Mkurugenzi wa Nafasi arts space Lilian Hipolyte amesema ushirika huo unalenga kuwawezesha wasanii…

Read More

MZEE WA KALIUA: Simba, MO ziheshimiane

Kama kuna mtu ameleta Mapinduzi makubwa kwenye Soka letu zama hizi, basi ni Mohammed Dewji. Usajili wa watu kama Jose Luís Miquissone, Clatous Chota Chama, Meddie Kagere, John Bocco, Aishi Manula, Rally Bwalya na wengine waliifanya Simba kuwa timu tishio ukanda wa Afrika ya Mashariki.

Read More

Maadui wa Rais Samia pale anapowahudumia Watanzania

Katika saikolojia, kuna somo linaitwa “Ingratiation”. Maana yake ni mbinu za kisaikolojia ambazo mtu anaweza kuzitumia kumvuta adui upande wake. Mwanasaikolojia bingwa, Edward Jones ‘Ned’, ambaye alipata kuwa profesa wa vyuo vikuu vya Duke na Princeton, Marekani, anatajwa kama baba wa Ingratiation kutokana na kazi kubwa aliyoifanya. Ingratiation ni mbinu ya kutoa sifa za ukweli…

Read More

Rais Samia awajibu waliosema anauza bandari

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amesema msingi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), kuongeza utoaji wa gawio ni uwekezaji uliofanywa katika uendeshaji wa bandari kwa kushirikiana na sekta binafsi. Katika kauli yake hiyo, Rais Samia amesema kelele zilizokuwa zinapigwa kupinga uwekezaji wa Kampuni ya DP World katika bandari ya Dar es…

Read More

Kidunda: Ubabe mtaani ulivyompeleka ulingoni

MOJA kati ya stori kubwa ya kichekesho aliyowahi kukutana nayo bondia wa ngumi za kulipwa nchini na bingwa wa mkanda wa mabara wa World Boxing Federation ‘WBF’ katika uzani wa Super Middle ni ile aliyowahi kuandikwa na vyombo vya habari nchini kuwa ‘Kidunda adundwa’. Lakini sasa katika upande mwingine wa  kiprotokali katika Serikali ya Tanzania,…

Read More