MSINGI WA ELIMU UMEBEBWA NA ELIMU YA AWALI NA DARASA LA KWANZA
Naibu katibu Mkuu, Ofisi ya Rais TAMISEMI (Elimu) Dkt Charles Msonde amesema Msingi wa Elimu ya Tanzania umebubwa na kujengwa katika msingi bora wa Elimu ya awali na darasa la kwanza hivyo walimu wanapaswa kuwa na usimamizi mkubwa na mzuri katika kuwafundisha wanafunzi hao ili wawe na msingi bora wa Elimu. Dkt. Msonde amesema haya…