KIGOMA YAILIZA PWANI MPIRA WA GOLI
TIMU ya Mkoa wa Kigoma imeibuka na ushindi dhidi ya mkoa wa Pwani, baada ya kuifunga jumla ya magoli 10-0 katika mchezo ya mpira wa Goli wasichana, kwenye mashijdano ya UMITASHUMTA yanayofanyika kitaifa mkoani Tabora. Katika mchezo wa awali uliochezwa kwenye ukumbi wa Chuo cha Uhazili Tabora, timu ya Mkoa wa Njombe wasichana iliifunga Mwanza…