Makundi maalumu yapewa neno INEC ikijiandaa kwa uchaguzi
Dar es Salaam. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imeyataka makundi maalamu, wakiwamo watu wenye ulemavu kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapigakura, kutokana na mifumo kuboreshwa. Tume imesema wapigakura wengi wamekuwa hawajiandikishi, wakiwamo wenye ulemavu, wajawazito na wenye watoto wachanga. Hayo yameelezwa leo Jumanne Juni 11, 2024 na Mwenyekiti wa INEC, Jaji…