NMB yamkosha Samia akipokea gawio la bilioni 57.4

Benki ya NMB imetoa gawio la Sh. 57.4 bilioni kwa Serikali ambayo ni kiashiria cha azma ya kuleta tija na faida kubwa kwa wawekezaji wao wote, ikiwemo Serikali yenye umiliki wa asilimia 31.8 katika benki hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Gawio hilo lililotolewa na NMB ndilo gawio kubwa lilitolewa na taasisi za kibiashara ambazo Serikali…

Read More

UVCCM wataka mtandao wa X ‘ufungiwe’

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Kawaida ameiomba Serikali kuchunguza maudhui yaliyomo katika Mtandao wa X (zamani Twitter) kwa kile alichodai kuwa yanakwenda kinyume na mila na desturi za Watanzania. Hivi karibuni mtandao huo ulitangaza kuwa kuanzia sasa umeruhusu rasmi watu kuonyesha na kuweka maudhui…

Read More

Zelensky ahimiza Ukraine isigawanywe na Urusi – DW – 11.06.2024

Akizungumza katika bunge la Ujerumani, Bundestag, Jumanne (11.06.2024) rais Zelensky amewaambia wabunge wa Ujerumani kwamba sasa wanaweza kuelewa kwa nini WaUkraine wanapambana sana dhidi ya juhud za Urusi kuwagawanya, na kuigawa Ukraine. “Mnayajua haya kutokana na uzoefu wenu wenyewe na ndio maana mnaweza kutuelewa sisi WaUkraine. Mnaweza kuelewa kwa nini tunapigana kwa nguvu nyingi dhidi…

Read More

Wanajeshi wanne wa Israel wauawa kwa mlipuko

Rafah.  Jeshi la Israel (IDF) limethibitisha vifo vya wanajeshi wanne vilivyotokana na mlipuko uliotokea Juni 10, 2024 wakati wa mapigano kati yao na Hamas, eneo la Rafah Kusini mwa Gaza. IDF imewataja wanajeshi hao kuwa ni Sajenti Eitan Karlsbrun (20), Meja Tal Pshebilski Shaulov (24), Sajenti Yair Levin (19) na Sajenti Almog Shalom (19) waliokuwa…

Read More

SERIKALI YARIDHIA MIKATABA 12 YA MAZINGIRA

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akijibu maswali bungeni wakati wa Kikao cha 45 Mkutano wa 15 wa Bunge jijini Dodoma leo Juni 10, 2024. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza na Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba wakati wa Kikao…

Read More

Mke wa Tory Lanez awasilisha maombi ya talaka

Moja ya taarifa iliyoshangaza ambao bado ni mashabiki wa lanez ni baada ya mkewe Raina Nancy Chassagne kuomba talaka kutoka kwa Tory Lanez, ambaye jina lake halisi ni Daystar Shemuel Shua Peterson, takriban mwaka mmoja baada ya kufunga pingu za maisha. Kulingana na hati za korti zilizopatikana na People mnamo Jumatatu, Juni 10, mke wa…

Read More