Watoto mil 400 duniani wanapitia ukatili majumbani – DW – 11.06.2024
Takwimu hizo za UNICEF zimekusanywa kutoka katika mataifa 100 kuanzia mwaka 2010 hadi 2023 na zilijumuisha aina zote za ukatili ikiwemo “adhabu za kimwili” na dhuluma za kisaikolojia. Shirika hilo linafasili ukatili wa kisaikolojia kuwa unajumuisha maneno ya kutwezwa kwa mtoto ikiwemo kuwapa majina yanayochukiza kwenye jamii, wakati ukatili wa kimwili ukiainishwa kuwa ni pamoja…