Mwanafunzi asimulia alivyotumia dakika 10 kujiokoa kwa aliyemjeruhi kwa panga
Buchosa. Mwanafunzi wa kidato cha tatu Shule ya Sekondari Ilenza iliyoko Halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza Agnes Marco (17), amesimulia alivyotumia takribani dakika 10 kupambana na mtu aliyedai alitaka kumbaka wakati akitoka kuchanja kuni porini na wenzake 16 waliokimbia. Akisimulia tukio hilo leo Jumanne Juni 11, 2024 kwa simu akiwa Kituo cha…