Aziz KI avunja ukimya ishu yake Yanga, aanika usajili wa Dube
KIUNGO wa Yanga, Stephane Aziz KI, amevunja ukimya juu ya yeye kuendelea kusalia ndani ya kikosi hicho, huku akifichua jambo kubwa kumuhusu straika Mzimbabwe, Prince Dube aliyekuwa akiitumikia Azam. Aziz KI amesema msimu ujao atakuwa ndani ya Yanga kuhakikisha anawasaidia washambuliaji kuwania tuzo ya ufungaji bora. KI amebainisha kwamba, katika kuwasaidia washambuliaji hao, mmoja kati…