Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi

Mwanza/Dar. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linaendelea na uchunguzi juu ya tukio la kigogo mmoja wa juu ngazi ya mkoa wa kanda ya ziwa, kutuhumiwa kumlawiti mwanafunzi wa chuo kikuu jijini Mwanza ndani ya gari. Uchunguzi umebaini jina la usajili wa namba ya simu iliyotajwa na mwanafunzi huyo, linafanana na la mmoja wa wakuu…

Read More

Kipindi cha kufunga mkanda kwa wakazi Kigamboni

Dar es Salaam. Ni kipindi cha wakazi wa Kigamboni jijini Dar es Salaam kufunga mkanda. Kauli hiyo inaakisi uhalisia wa uvumilivu wa zaidi ya mwaka wanaopaswa kuwa nao watumiaji wa vivuko katika eneo la Kigamboni-Magogoni. Wanachopaswa kuvumilia hasa ni huduma hafifu katika eneo hilo kwa kipindi cha karibu mwaka, zitakazosababishwa na uchache wa vivuko, baada…

Read More

VIONGOZI LINDI WATAKIWA KUWA NA WELEDI KATIKA UTEKELEZAJI WA MPANGO JUMUISHI WA WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII.

Na Elizaberth Msagula,Lindi Viongozi ngazi ya Wilaya na Mkoa wa Lindi wamekumbushwa kuzingatia weledi katika utekelezaji wa mpango jumuishi wa wahudumu wa afya ngazi ya jamii kwa Mkoa huo. Mkuu wa Wilaya ya Lindi Shaibu Ndemanga akimwakilisha Mkuu wa Mkoa huo Zainab Telack amekumbusha hayo leo Juni 10, 2024 katika utambulisho wa mpango jumuishi wa…

Read More

Mbwembwe, teknolojia ilivyotumika mijadala ya bajeti

Dodoma. Uwasilishaji wa bajeti za kisekta na uchangiaji wa wabunge wa mijadala ya kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara kwa mwaka wa fedha 2024 /25 umekuwa na mbwembwe na ubunifu huku baadhi wakitumia teknolojia kuwabana mawaziri kwa kauli walizotoa bungeni na nje ya Bunge. Wizara mbalimbali ziliamua kufanya maonyesho katika viwanja vya Bunge…

Read More

MBUNGE MTATURU AWASHA MOTO BUNGENI

MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ameihoji serikali ni lini kituo cha afya cha Ntuntu kilichopo jimboni kwake kitaanza kufanya kazi. Mtaturu ameuliza swali hilo Juni 10,2024,Bungeni Jijini Dodoma katika kipindi cha maswali na majibu. “Mh Mwenyekiti,kituo cha afya cha Ntuntu kilitengewa Sh Milioni 500 huu unaenda mwaka wa pili lakini hakijaanza kufanya kazi pamoja…

Read More

VIONGOZI WA BODI ZA VYAMA WATAKIWA KUTAMBUA WAJIBU WAO KATIKA VYAMA

    Mrajis Msaidizi wa Vyama vya Ushirika Mkoa wa Kilimanjaro, Jacqueline Senzighe, akizungumza wakati akifungua mafunzo yaliyoratibiwa na Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) ya Wajumbe wa Vyama vya Ushirika vya Mbogamboga yaliyofanyika Mkoani Kilimanjaro. Mrajis Msaidizi wa (Uhamasishaji), Ibrahim Kadudu,akizungumza wakati wa mafunzo yaliyoratibiwa na Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC)…

Read More

Latra yatangaza nauli treni ya SGR

Dar es Salaam. Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra),imetangaza nauli za abiria wa usafiri wa reli ya kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma kuwa Sh 31,000 kwa watu wazima na watoto wa kuanzia umri wa miaka 12 kushuka chini wakilipa nusu gharama. Hata hivyo, kiwango cha nauli kwa usafiri huo ni pungufu kidogo…

Read More

Mwanafunzi kidato cha nne adaiwa kujinyonga hadi kufa

Bukoba.  Alily Halphan (15), mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Bakoba, Manispaa ya Bukoba, Mkoa wa Kagera, anadaiwa kujinyonga hadi kufa akiwa chumbani kwake. Inadaiwa Alily amejinyonga kwa  kutumia vipande viwili vya pazia na tukio hilo limetokea leo Jumatatu Juni 10, 2024 katika Mtaa wa Kafuti, Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera. Maiti…

Read More