WAJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI TPDC WAFANYA ZIARA GASCO
Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) wamefanya ziara ya kutembelea Kituo cha kupokelea gesi asilia-Kinyerezi leo Jumatatu Juni 10, 2024 kwa lengo la kujifunza shughuli mbalimbali zinazofanywa na GASCO ikiwemo shughuli za uendeshaji na matengenezo ya miundombinu ya gesi asilia, shughuli za ujenzi wa miundombinu ya usambazaji wa…