Mama yake Frateri anayedaiwa kujinyonga naye afariki dunia
Moshi. Zikiwa zimepita siku 16 tangu Frateri wa Kanisa Katoliki, Rogassian Massawe (25) anayedaiwa kujinyonga hadi kufa azikwe nyumbani kwao, katika Kijiji cha Umbwe Onana, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, mama yake mzazi, Levina Hugo (58) naye amefariki dunia. Frateri huyo alizikwa Mei 25, 2024 baada ya kudaiwa kujinyonga kwa kutumia mshipi Mei 20, mwaka…