TETESI: Biashara Utd ni wao na Nkane

BIASHARA United ina hesabu kali za kushinda mechi mbili za mtoano ‘Play Off’ dhidi ya Tabora United ili kurejea Ligi Kuu na muda huohuo imekuwa kwenye hesabu za usajili. Wakali hao kutoka Mara wanaamini msimu ujao timu yao itacheza Ligi Kuu na tayari wameanza maandalizi ambapo Winga wa Yanga, Denis Nkane ni miongoni mwa mastaa…

Read More

Dawa mpya ya uzazi wa mpango kwa wanaume yazua mjadala

Dar es Salaam. Watafiti wamefanikiwa kugundua njia ya uzazi wa mpango kwa wanaume, kupitia dawa maalumu itakayotumia homoni mbili za kiume ambazo ni nestorone na testosterone kuzuia uzalishaji wa mbegu katika manii za mwanaume. Dawa hiyo iliyo katika mfano wa mafuta (jeli) itakuwa ikipakwa na wanaume kwenye mabega yao, mara moja kwa siku na matokeo…

Read More

FRIENDS OF SERENGETI YATOA UFADHILI WA VIFAA VYA DORIA VYENYE THAMANI YA ZAIDI YA TZS. MILLIONI 40 KWA ASKARI WA UHIFADHI WA TAWA

Na Beatus Maganja, Arusha. Katika kuunga mkono jitihada za Serikali za kuhifadhi na kulinda rasilimali za wanyamapori nchini ikiwa ni pamoja na kudhibiti wa wanyama wakali na waharibifu, Marafiki wa Serengeti Uswisi “Friends of Serengeti Switzerland” wametoa msaada wa mahema 20, mabegi ya kulalia “Sleeping bags” 20 yenye thamani ya Shillingi Millioni thelathini laki tisa…

Read More

DKT. BITEKO ATETA NA VIONGOZI WA CCM BUKOMBE

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa uimara wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) unatokana na misingi iliyowekwa na waasisi ya kushirikisha wanachama wake kutoka ngazi ya balozi, kata hadi wilaya. Dkt. Biteko ameyasema hayo Juni 9, 2024 katika Wilaya ya Bukombe,…

Read More

NMB yatoa gawio la bilioni 181 kwa wanahisa wake

  WANAHISA wa Benki ya NMB wameidhinisha gawio la Sh 181 bilioni, sawa na Sh 361 kwa kila hisa moja kwa mwaka unaoishia tarehe 31 Disemba 2023. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Azimio hilo limepitishwa leo Jumatatu katika Mkutano Mkuu wa 24 wa Wanahisa wa Benki ya NMB. Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB,…

Read More

Wananchi Mbeya wahaha na mgawo wa maji

Mbeya. Wakati wakazi wa kata za Ilemi, Isanga na Sinde jijini Mbeya wakilia na ukosefu wa maji kwa siku nane sasa, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (Mbeya Wssa) imesema maeneo hayo yote kwa sasa yanapata maji kwa mgawo. Asilimia kubwa ya wakazi wa kata hizo sasa wanategemea maji ya visima ambayo si salama…

Read More

ASASI ZA RAIA ZATAKIWA KUTUMIA MAJUKWAA KUTOA ELIMU, KUHAMASISHA UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

* INEC Yakamilisha mandalizi muhimu kwa ajili ya zoezi hilo Na Leandra Gabriel, Dar es Salaam KUELEKEA Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura nchini Asasi za kiraia zimetakiwa kutumia majukwaa yao kutoa elimu na kuhamasisha wananchi kujitokeza kujiandikisha kuwa wapiga kura, Pamoja na kuboresha taarifa zao katika Daftari hilo ili waweze…

Read More

BVR Kits 6,000 kuboresha daftari la wapiga kura

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imekamilisha maandalizi muhimu kwa ajili ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ikiwa ni pamoja na ununuzi wa vifaa vya uandikishaji vinavyojumuisha BVR Kits 6,000. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam… (endelea). Hayo yamebainishwa leo tarehe 10 Juni 2024 jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Uchaguzi…

Read More