INEC yakamilisha maandalizi muhimu uboreshaji wa Daftrai la Wapiga kura
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi(INEC) imekamilisha maandalizi muhimu kwa ajili ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ikiwa ni pamoja na ununuzi wa vifaa vya uandikishaji vinavyojumuisha BVR Kits 6,000. Hayo yamebainishwa leo Juni 10, 2024 jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru…