Hujuma za RSF zasababisha kufungwa hospitali muhimu Sudan – DW – 10.06.2024
Shirika la kimataifa la Madaktari Wasio na Mipaka, MSF, limesema kuwa wanamgambo wa RSF waliishambulia hospitali hiyo iliyo kusini mwa mji wa El-Fasher, ambao ni mji mkuu wa jimbo la Darfur Kaskazini, mwishoni mwa juma na kuwafyatulia risasi wahudumu wa afya na wagonjwa waliokuwa wakipatiwa matibabu hospitalini hapo. Kupitia tamko la pamoja kati ya wizara…