Gamondi, Yanga mambo bado magumu
MAMBO bado baina ya kocha Miguel Gamondi na mabosi wa Yanga baada ya kushindikana kukutana juzi Jumatano ili kujadiliana juu ya mkataba mpya na sasa kocha huyo anaendelea kula zake bata visiwani Zanzibar wakati anasikilizia simu za kuitwa jijini Dar es Salaam. Gamondi amemaliza mkataba aliokuwa nao na Yanga baada ya kuiwezesha kutetea ubingwa wa…