Wabunge Marekani waguswa uhifadhi Ngorongoro

Wabunge wa Bunge la Wawakilishi la Congress kutoka nchini Marekani wamepongeza juhudi za uhifadhi zinazofanywa na Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro hususan utunzaji na ulinzi wa wanyamapori adimu kama faru wakiwa katika maeneo yao ya asili.  Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Maliasili kutoka bunge hilo ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo…

Read More

NIONAVYO: Kuondoka kwa Mayele kuliijenga Yanga

VICHWA vya habari vya vyanzo mbalimbali vya habari za michezo juma hili vimegubikwa na habari za uhamisho wa wachezaji mbalimbali hapa nchini. Habari hizi zinaongelea zaidi nani anatoka na nani anaingia hasa katika klabu kubwa za Yanga na Simba. Azam ambayo imekuwa bize na usajili hata wakati ligi inaendelea haifuatiliwi sana na hivyo wanafanya mambo…

Read More

Uzalishaji kiwanda cha sukari TPC ulivyomkuna Mchechu

Na Safina Sarwatt, Mtanzania Digital Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu, ameeleza kuridhishwa kwake na ufanisi wa kiwanda cha sukari cha TPC Limited, akibainisha faida kubwa iliyopatikana katika kipindi cha mwaka 2022/23. Kiwanda hiki kimeweza kuzalisha faida ya Sh bilioni 72.7 baada ya kodi kutokana na mauzo ya Sh bilioni 235, huku gawio kwa wanahisa likifikia…

Read More

Wanafunzi 250,000 elimu ya juu kukopeshwa Sh bilioni 787

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Wanafunzi 250,000 wa vyuo vya kati na elimu ya juu wanatarajia kunufaika na mikopo katika mwaka wa masomo 2024/2025 ambapo Sh bilioni 787 zimetengwa. Idadi hiyo ya wanafunzi imeongezeka kutoka 224,056 wa mwaka 2023/2024 ambapo watakaonufaika ni wa shahada za awali, stashahada, stashahada ya umahiri katika mafunzo ya sheria kwa…

Read More

Dira ya maendeleo ya 2025 imefikiwa kwa asilimia 65

Seoul. Wakati serikali ikiendelea na mchakato wa kuandaa dira mpya ya maendeleo ya mwaka 2050, Rais Samia Suluhu Hassan amesema utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2025 umefikia asilimia 65. Amesema utekelezaji wa dira hiyo ungeweza kufikia asilimia 80 lakini haikuwezekana kwa sababu hawakuweza kuipima sekta isiyo rasmi licha ya kuwa na…

Read More

Wakulima kunufaika na masoko ya mazao

Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) amesema Serikali kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) itaanza kununua mazao ya wakulima kuanzia Julai 15 hadi 20 mwaka huu katika vituo vya ununuzi ambavyo vitatangazwa hapo baadae. Mhe Bashe ameyasema hayo tarehe 5 Juni, 2024 jijini Dodoma katika Hafla ya Utiaji Saini Randama za…

Read More