Madalali, sera mbovu chanzo kukwama kilimo cha mwani
Dar es Salaam. Wadau na wakulima wa zao la mwani nchini wametaja teknolojia, bei ya chini, madalali na sera mbovu kuwa changamoto katika kilimo hicho. Wakizungumza jana Juni 5, 2024 katika mkutano wa pembeni ulioandaliwa na Shirika la Uhifadhi wa Mazingira Duniani (WWF) jijini Dar es Salaam, baadhi ya wakulima wamesema soko la mwani bado…