KIMEI AMSHUKURU RAIS SAMIA KWA MIRADI MINGI YA MAENDELEO VUNJO
Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mheshimiwa Dkt Charles Stephen Kimei amesema katika kipindi cha miaka takribani minne wamepokea fedha takribani shilingi bilioni 41 kwa ajili ya miradi ya maendeleo hivyo kwa niaba ya wananchi wenzake wanamshukuru sana Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa upendo mkubwa kwao. Dkt Kimei amesema Jimbo lake limepata zahanati mpya…