Jaji mfawidhi Mhe.Latifa Mansoor awataka MPLC kupongeza Nguvu Elimu msaada wa kisheria
Jaji Mfawidhi wa Mhakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Morogoro,Mh.Latifa Mansoor ameushauri Uongozi wa Shrika la Wasaidizi wa Kisheria Morogoro (MPLC) kuongeza nguvu katika kutoa elimu na msaada wa Kisheria ndani ya jamii kwa lengo la kupanua wigo wa upatikanaji wa haki ili kupunguza matukio mbalimbali ya uhalifu ikiwemo ukatili wa kijinsia,ubakaji,ulawiti na maadili. Aidha…