Utata kifo cha mfanyakazi Hospitali ya Mnazi Mmoja

Unguja. Wakati ndugu wa mfanyakazi wa Hospitali ya Rufaa Mnazi Mmoja, Said Ali Shineni (49) wakiwatuhumu walinzi wa hospitali hiyo kutoka Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) kumuua mtumishi huyo, Polisi na uongozi wa hospitali wamesema wanachunguza tukio hilo.  Akizungumza na Mwananchi  jana Jumanne Juni 4, 2024 ndugu wa marehemu huyo, Adil Suleiman Sheha amesema taarifa…

Read More

Huyu hapa kocha mpya Simba

MWANASPOTI linajua Simba iko kwenye mazungumzo na  kocha Msauzi,Steve Komphela (56) na yamefikia katika hatua nzuri kama ilivyo kwa Mido wa Asec,Serge Pokou. Ni chuma kwa chuma mpaka Simba mpya ikamilike.  Simba wanaamini kwamba anaweza kurithi mikoba iliyoachwa na Mualgeria Abdelhack Benchikha kwani safari hii wanasaka bosi ambaye hana wasifu mkubwa lakini ana uchu wa…

Read More

Umri wamnusuru kifungo cha miaka 30 jela

Dar es Salaam. Mahakama ya Rufani imetengua hukumu ya Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza iliyothibitisha hukumu ya Mahakama ya Wilaya Bukombe (Geita) kwa kumpa Cosmas Herman kifungo cha miaka 30 jela, kutokana na umri wa mwathirika kutothibitishwa. Herman ambaye ni mkazi wa kijiji cha Msasa wilayani Bukombe, mkoani Geita alipewa adhabu hiyo katika hukumu yake…

Read More

Simba yavuta mido Muivory Coast

HABARI za uhakika ni kwamba Simba wiki hii itamsainisha kiungo wa Asec Mimosas, Serge Pokou mkataba wa miaka miwili wenye thamani ya Sh200mil. Hivi karibuni Mwanaspoti liliripoti kuwa Simba imefanya mazungumzo na kiungo huyo panga pangua wa Asec na wamekubaliana sehemu kubwa ya dili hilo, ili mwamba huyo aje akakipige kwenye kikosi hicho msimu ujao….

Read More

Chalamila awatangazia neema wanawake Dar

Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar ea Salaam, Albert Chalamila ametoa ofa ya mitungi ya gesi 1,500 kwa kina mama kutoka wilaya za tano za Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya uhamasishaji wa nishati safi ya kupitia na kuondokana na matumizi ya kuni na mkaa. Chalamila ametoa ofa hiyo leo Jumatano Juni…

Read More

Kasoro katika utambuzi zamtoa jela aliyehukumiwa miaka 30

Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Iringa imemuachia huru mshtakiwa aliyehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumbaka msichana raia wa Ujerumani. Seleman Nyigo, mwosha magari eneo la Ndiuka, Kata ya Gangilonga, Manispaa ya Iringa ameachiwa huru na mahakama. Mahakama katika hukumu iliyotolewa na Jaji Ilvin Mugeta imemuachia huru Seleman Nyigo  maarufu…

Read More

GGML imetekeleza mpango wa ukarabati wa ardhi kwa kupanda karibu miti nusu milioni, kusaidia kukuza baionowai na kukabiliana na uharibifu wa mazingira.

SHUGHULI za uchimbaji madini hutakiwa kwenda sambamba na urejeshaji mazingira ambayo kwa namna moja au nyingine yanaweza kuharibiwa na shughuli hizo ndio maana kumekuwa na ufuatiliaji mkubwa kwa upande wa Serikali na mamlaka husika kuhakikisha mazingira yanalindwa. Vivyo hivyo katika kulinda vyanzo vya maji hasa ikizingatiwa yanatumiwa na viumbe hai wote ikiwamo binadamu na wanyama….

Read More