IFRC yatoa ombi la dharura ili kuwasaidia wakimbizi Congo – DW – 05.06.2024

Shirikisho la kimataifa la mashirika ya Msalaba Mwekundu na Hilali Nyekundu, limetangaza ombi la dharura la dola milioni 57 ili kuwasaidia kwa haraka watu 500,000, wakimbizi wa ndani walio hatarini, pamoja na jamii zinazowakaribisha. Mashirika hayo yameonya kuhusu “kuongezeka” kwa ghasia katika majimbo ya Kivu Kaskazini na Kivu Kusini, kwenye mpaka wa mashariki mwa Jamhuri…

Read More

DKT. NCHEMBA AZUNGUMZA NA RAIS WA CHINA EXIM BANK

Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amefanya mkutano kwa njia ya mtandao kutoka jijini Dodoma na Rais wa China Exim Bank, Bw. Ren Shengiun, ambapo wamejadili kuhusu ushirikiano kati ya Serikali na Benki hiyo ikiwemo upatikanaji wa fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo nchini. Katika mkutano huo pamoja…

Read More

Mudathir apewa u-MVP | Mwanaspoti

MSIMU wa 2023/2024 umetamatika rasmi majuzi baada ya Yanga kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikishi kwa kuichapa Azam FC kwa penalti 6-5 katika fainali kali iliyopigwa kwenye Uwanja wa New Amaan visiwani Zanzibar na kwa sasa inasubiriwa tuzo za Wanamichezo Bora, huku kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mudathir Yahya akipewa u-MVP mapema na nyota anaocheza nao…

Read More

DKT.NCHEMBA ATETA NA RAIS WA CHINA EXIM BANK

Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akiwa katika Mkutano kwa njia ya mtandao jijini Dodoma na Rais wa China Exim Bank- China, Bw. Ren Shengiun (hayupo pichani) ambapo walijadili kuhusu ushirikiano kati ya Serikali na Benki hiyo ikiwemo upatikanaji wa fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo nchini. Waziri…

Read More

Benki ya Akiba yaahidi kuendelea kuhifadhi mazingira

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Benki ya Akiba Commercial (ACB) imesema itaendelea kutunza na kuhifadhi mazingira kwa ajili ya urithi bora wa vizazi vijavyo. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani, Meneja wa Benki ya Akiba Tawi la Dodoma, Upendo Makula, amesema amesema jitihada hizo zinakwenda sambasamba na kaulimbiu ya mwaka huu, isemayo…

Read More

Dk Mpango ataka kibano kwa wachafuzi wa mazingira

Dodoma. Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango ameziagiza halmashauri nchini kusimamia ipasavyo sheria ndogo za mazingira na kuchukua hatua kwa wale watakaobainika kwenda kinyume na sheria hizo. Mbali na hilo , amesema takwimu zinaonyesha kuwa mwaka 2021/22 takribani eneo la kilometa za mraba la 95,793 zilichomwa,  huku mikoa Morogoro, Katavi na Lindi ikitajwa kuwa na…

Read More