Pamba yaanza na Mserbia | Mwanaspoti
UONGOZI wa Pamba umeanza kufanyia tathimini ya kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara huku ikiwa katika mazungumzo na aliyekuwa Kocha wa Tabora United Mserbia, Goran Kopunovic kwa ajili ya kuchukua nafasi ya Mbwana Makata. Taarifa kutoka ndani ya kikosi hicho zililiambia Mwanaspoti, viongozi wameanza kukaa vikao kwa ajili ya kujadili…