Wapalestina milioni 1 hatarini kukumbwa na baa la njaa – DW – 05.06.2024
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) na Shirika la Chakula na Kilimo (FAO) wamesema katika ripoti yao ya pamoja kwamba viwango vya njaa vinazidi kushuhudiwa huko Gaza kutokana na vikwazo vya uwasilishwaji wa misaada ya kibinadamu na kusambaratika kwa mfumo wa chakula vinavyochochewa na vita vya karibu miezi minane kati ya Israel na kundi…