RAIS MSTAAFU NA MWENYEKITI WA GPE DKT. JAKAYA KIKWETE AONGOZA VIKAO VYA BODI HIYO MJINI BERLIN, UJERUMANI
Mheshimiwa Dkt. Jakaya Kikwete, Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kimataifa inayoshughulikia Masuala ya Elimu Duniani (Global Partnership for Education – GPE) akiongoza Vikao vya Bodi ya Taasisi hiyo vinavyofanyika Jijini Berlin, nchini Ujerumani kuanzia tarehe 4 – 6 Juni, 2024. Katika vikao hivyo, Taasisi ya GPE inapitia na kuazimia masuala mbalimbali ya kiundeshaji yatakayolenga…