KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU MWAKA 2024 AMTAKA MKANDARASI WA MRADI WA MAJI MAKONDE KUONGEZA KASI YA UJENZI YA MATENGENEZO YA MRADI HUO
KIONGOZI wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2024 Godfrey Mnzava,amemtaka Mkandarasi kampuni ya China Civil Engineering Construction Corperation(CCECC) inayofanya kazi ya upanuzi na ukarabati wa mradi wa maji Makonde kuongeza kasi ili mradi huo uweze kukamilika kwa muda uliopangwa. Mnzava,ametoa agizo hilo jana baada ya kutembelea na kukagua kazi ya upanuzi na ukarabati…