RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI MKUTANO WA JUKWAA LA MIUNDOMBINU KATI YA KOREA NA AFRIKA JIJINI SEOUL, JAMHURI YA KOREA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi pamoja na Wageni mbalimbali walioshiriki Mkutano wa Jukwaa la Miundombinu baina ya Korea na Afrika ambao umefanyika Westin Josun Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 05 June, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na…

Read More

Huko Simba Mafia wamerudi kazini, safu ya usajili yapanguliwa

SIMBA imefanya maamuzi mazito. Tena kimyakimya. Imewarudisha kundini watu wanne muhimu ambao wanajua jinsi ya kufanya umafia kwenye usajili nchini Tanzania. Na ikawapa majukumu ya kusimamia shoo kuanzia sasa kurejesha hadhi ya klabu hiyo. Baada ya kukaa na kugundua kuwa kinachoikwamisha timu hiyo kwa kipindi cha misimu mitatu ni aina ya usajili ambao ilikuwa inafanya,…

Read More

Mkenya alie rekodiwa akimpiga polisi ashtakiwa

Dereva Mkenya mwenye umri wa miaka 19 ambaye polisi wanasema alirekodiwa akimpiga polisi wa trafiki kwenye barabara katika mji mkuu, Nairobi, amefunguliwa mashtaka ya wizi kwa kutumia vurugu. Video ya tukio hilo, ambayo imesambazwa sana, ilionyesha mshambuliaji akimshambulia polisi kwa mateke na makofi wakati wa tukio la Jumapili. Kisha alitoroka kutoka eneo la tukio baada…

Read More

Mafyatu kumkaribisha Rahis kuzindua kijiwe

Baada ya kuona kuwa inawezekana kumfyatua, sorry, kumchengua rahis hadi anazindua mangomangoma ya Hamnazoo, mafyatu tunakula mkakati kumkaribisha kuzindua kijiwe chetu cha ndumuu. Naona yule anatikisa kichwa kuwa rahis na vijiwe vya bangii, sorry, nimesema bangili wapi na wapi? Hamkumuona arap Rooter wa kwa njirani akijinoma na mchekeshaji kwa Joji Kichaka akiwatosa wake. Ama kweli…

Read More

Caf yaanza na Coastal Union, Azam

Shirikisho la Soka Afrika (Caf) limezitaka timu zinazoshiriki michuano ya kimataifa msimu ujao kukamilisha usajili wake mapema. Caf juzi ilitoa taarifa ya kuonyesha kalenda ya michuano ya kimataifa, Klabu Bingwa Afrika na Kombe la Shirikisho, huku ikionekana kuwa timu zina siku chache tu kuanzia sasa kukamilisha usajili wake. Yanga na Azam zitashiriki michuano ya Ligi…

Read More

RAIS MSTAAFU NA MWENYEKITI WA TAASISI YA MUSUALA YA ELIMU DUNIANI (GPE) DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE AONGOZA VIKAO VYA BODI HIYO MJINI BERLIN, UJERUMANI

Mheshimiwa Dkt. Jakaya Kikwete, Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kimataifa inayoshughulikia Masuala ya Elimu Duniani (Global Partnership for Education – GPE) akiongoza Vikao vya Bodi ya Taasisi hiyo vinavyofanyika Jijini Berlin, nchini Ujerumani kuanzia tarehe 4 – 6 Juni, 2024.Katika vikao hivyo, Taasisi ya GPE inapitia na kuazimia masuala mbalimbali ya kiundeshaji yatakayolenga kuboresha…

Read More