Mafyatu kumkaribisha Rais kuzindua kijiwe

Baada ya kuona kuwa inawezekana kumfyatua, sorry, kumchengua rahis hadi anazindua mangomangoma ya Hamnazoo, mafyatu tunakula mkakati kumkaribisha kuzindua kijiwe chetu cha ndumuu. Naona yule anatikisa kichwa kuwa rahis na vijiwe vya bangii, sorry, nimesema bangili wapi na wapi? Hamkumuona arap Rooter wa kwa njirani akijinoma na mchekeshaji kwa Joji Kichaka akiwatosa wake. Ama kweli…

Read More

Gari la mbunge ladaiwa kubeba wahamiaji haramu

Moshi. Wimbi la magari ya kifahari kutumika kusafirisha wahamiaji haramu kutoka Ethiopia, linazidi kushika kasi nchini na safari hii gari linalodaiwa kuwa la Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, likikamatwa na wahamiaji haramu saba. Gari hilo aina ya Toyota Land Cruiser V8 lilikamatwa jana saa 2:00 asubuhi katika hoteli moja iliyopo Njiapanda…

Read More

Uchaguzi wa 2024 na mustakabali wa Rwanda

Julai 15, mwaka huu wananchi wa Rwanda wanatarajiwa kushiriki katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo kuchagua Rais na wabunge. Rais Paul Kagame, ambaye amekuwa madarakani kwa zaidi ya miaka 24, ametangaza kugombea kwa muhula wa nne. Kagame aliungwa mkono katika chaguzi zilizopita, akishinda kwa zaidi ya asilimia 90 ya kura katika miaka ya 2003, 2010…

Read More

NCHIMBI ALIVYOINGIA KILIMANJARO KWA KISHINDO

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na Wananchi wa Mji wa Bomang’ombe, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, leo Juni 4, 2024, katika Uwanja wa Bomang’ombe, ikiwa ni siku ya kwanza ya ziara yake ya kikazi mkoani humo, ambapo mbali ya umati mkubwa wa wananchi, Balozi Nchimbi na msafara…

Read More

Wanafunzi 5,818 kujiunga kidato cha tano Zanzibar

Unguja. Wanafunzi 5,818 wamechaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha tano kisiwani hapa. Idadi hiyo ya wanafunzi imeongezeka kutoka 4,415 mwaka 2023 hadi kufikia 5,818 mwaka 2024 sawa na asilimia 21. Kati ya hao wasichana ni 3,352 na wavulana ni 2,466. Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari leo Jumanne Juni 4, 2024, Naibu Waziri wa…

Read More

Bei za petroli, dizeli zashuka kiduchu

Dar es Salaam. Bei ya rejareja ya mafuta ya petroli kupitia Bandari ya Dar es Salaam inayoanza kutumika leo Juni 5, 2024 imeshuka kwa Sh52.72 na kufikia Sh3, 261 kwa lita moja, ikilinganishwa na bei ya mwezi uliopita. Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Maji (Ewura) inaonyesha bei ya dizeli inayochukuliwa…

Read More

Polisi watatu kizimbani wakidaiwa kupokea rushwa ya Sh55 milioni

Songwe. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Songwe imewafikisha mahakamani waliokuwa askari polisi watatu wakishtakiwa kwa kuomba na kupokea rushwa.  Askari hao waliokuwa wanahudumu katika Kituo cha Polisi Tunduma, wilayani Momba, wanashtakiwa kwa kosa la kuomba na kupokea rushwa ya Sh55 milioni. Washtakiwa wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Momba, iliyopo…

Read More